Twende tukajenge, nunua kiwanja Ras bamba
TZS30,480,000.00 - TZS 90,675,000.00

About this Product
Twende tukajenge! unaachaje kujenga karibu na matajiri kwa kununua kiwanja na ulipe kidogokidogo, viwanja vinapatikana Ras bamba- Temeke, huduma zote za kijamii zinapatikana ikiwemo maji, umeme, barabara na majirani pia wapo. 1 sqm ni Tsh. 40,000 kwa malipo ya cash na Tsh. 45,000 kwa malipo ya awamu.
Similar Properties
Back to top