About this Product

Twenzetu site! miliki kiwanja kwa bei nafuu sana kupitia mradi wa viwanja uliopo Visiga- kibaha, utapata 1 sqm kwa Tsh. 8000 kwa malipo ya cash na Tsh. 10,000 kwa malipo ya awamu. huduma za kijamii zinapatikana ikiwemo maji, umeme, barabara pamoja na majirani

Property Gallery

Similar Properties